Job 35:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yobu unafungua mdomo kusema maneno matupu, unazidisha maneno bila akili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiposa Ayubu hufunua kinywa chake kwa ubatili; Huongeza maneno pasipo maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yobu unafungua mdomo kusema maneno matupu, unazidisha maneno bila akili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiposa Ayubu hufunua kinywa chake kwa ubatili; Huongeza maneno pasipo maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yobu unafungua mdomo kusema maneno matupu, unazidisha maneno bila akili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Iyobu amekifunua kinywa chake, vikawa vya bure, amesema maneno mengi ya mambo, asiyoyajua. Elihu akajibu tena akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiposa Ayubu hufunua kinywa chake kwa ubatili; Huongeza maneno pasipo maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yobu anafungua kinywa kusema maneno matupu, anazidisha maneno bila akili.