Job 35:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitakujibu wewe, na rafiki zako pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ningependa nikujibu wewe na rafiki zako walio nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nitakujibu, Na hawa wenzio pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitakujibu wewe, na rafiki zako pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ningependa nikujibu wewe pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ningependa nikujibu wewe pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nitakujibu, Na hawa wenzio pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitakujibu wewe, na rafiki zako pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nitakujibu wewe nao wenzako walioko kwako:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nitakujibu, Na hawa wenzio pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitakujibu wewe na warafiki zako vilevile.