Job 35:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hebu zitazame mbingu! Tazama mawingu yaliyo juu kuliko wewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama juu mbinguni ukaone; yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ziangalie mbingu ukaone; Na mawingu yaangalie, yaliyo juu kuliko wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hebu zitazame mbingu! Tazama mawingu yaliyo juu kuliko wewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama juu mbinguni ukaone, yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama juu mbinguni ukaone; yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ziangalie mbingu ukaone; Na mawingu yaangalie, yaliyo juu kuliko wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hebu zitazame mbingu! Tazama mawingu yaliyo juu kuliko wewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zitazame mbingu, upate kuona! Yaangalie mawingu yaliyoko huko juu kichwani pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ziangalie mbingu ukaone; Na mawingu yaangalie, yaliyo juu kuliko wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi uangalie mbingu! Angalia mawingu yanayokuwa juu kuliko wewe!