Job 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukitenda dhambi, je, Mungu ndiye unayemdhuru? Na kama ukizidisha makosa yako, wadhani unamwumiza?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa umefanya dhambi, umefanya nini juu yake? Yakiwa makosa yako yameongezeka, wamfanyia nini yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukitenda dhambi, je, Mungu ndiye unayemdhuru? Na kama ukizidisha makosa yako, wadhani unamwumiza?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa umefanya dhambi, umefanya nini juu yake? Ikiwa makosa yako yameongezeka, wamfanyia nini yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukitenda dhambi, je, Mungu ndiye unayemdhuru? Na kama ukizidisha makosa yako, wadhani unamwumiza?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule unamtendea nini ukikosa? Mapotovu yako yakiwa mengi, unamfanyizia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa umefanya dhambi, umefanya nini juu yake? Yakiwa makosa yako yameongezeka, wamfanyia nini yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukitenda zambi, Mungu ndiye unayemuzuru? Na kama ukizidisha makosa yako, unazani unamwumiza?