Job 35:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wewe ni mwema, je, unampatia faida, au yeye anapokea kitu kutoka kwako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa u mwenye haki, wampa kitu gani? Au yeye hupokea nini mkononi mwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wewe ni mwema, je, unampatia faida, au yeye anapokea kitu kutoka kwako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa u mwenye haki, wampa kitu gani? Au yeye hupokea nini mkononi mwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wewe ni mwema, je, unampatia faida, au yeye anapokea kitu kutoka kwako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule unampa nini usipokosa? Au liko, atakalolichukua mkononi mwako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa u mwenye haki, wampa kitu gani? Au yeye hupokea nini mkononi mwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wewe ni mwenye haki, unamupatia faida, au yeye anapokea kitu kutoka kwako?