Job 35:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa sababu ya udhalimu mwingi watu hulia, huomba msaada kwa sababu ya mapigo ya wenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya wingi wa jeuri wao hulia; Walilia msaada kwa sababu ya mkono wa wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa sababu ya udhalimu mwingi watu hulia, huomba msaada kwa sababu ya mapigo ya wenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso, huomba msaada kutoka kwenye mkono wenye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya wingi wa dhuluma wao hulia; Walilia msaada kwa sababu ya mkono wa wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa sababu ya udhalimu mwingi watu hulia, huomba msaada kwa sababu ya mapigo ya wenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa wingi wa mateso watu hulia, kwa kutolewa nguvu na wakuu hupiga makelele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya wingi wa jeuri wao hulia; Walilia msaada kwa sababu ya mkono wa wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya mateso mengi watu wanalia, wanaomba musaada kwa sababu ya mapigo ya wenye nguvu.