Job 36:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwafungua masikio wasikie mafunzo, na kuwaamuru warudi na kuacha uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwafungua masikio wasikie mafunzo, na kuwaamuru warudi na kuacha uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwafanya wao kusikia maonyo na huwaagiza kutubu uovu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwafungua masikio wasikie mafunzo, na kuwaamuru warudi na kuacha uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo huwafunulia masikio, wasikie, akiwaonya, na kuwaambia, warudi na kuyaacha maovu yao, akiwatisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anafungua masikio wasikie mafundisho, na kuwaamuru warudi na kuacha uovu.