Job 36:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakimtii Mungu na kumtumikia, hufanikiwa katika siku zao zote; miaka yao yote huwa ya furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakimtii Mungu na kumtumikia, hufanikiwa katika siku zao zote; miaka yao yote huwa ya furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio na miaka yao katika utoshelevu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakimtii Mungu na kumtumikia, hufanikiwa katika siku zao zote; miaka yao yote huwa ya furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikiwa, wanamsikia, waje kumtumikia, ndipo, watakapozimaliza siku zao na kuona mema, nayo miaka yao na kuifurahia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakimutii Mungu na kumutumikia, wanafanikiwa katika siku zao zote; miaka yao yote inakuwa ya furaha.