Job 36:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wasiomcha Mungu hupenda kukasirika, hawamlilii msaada anapowabana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao wasiomcha Mungu mioyoni hujiwekea hasira Hawalilii msaada hapo awafungapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wasiomcha Mungu hupenda kukasirika, hawamlilii msaada anapowabana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao wasiomcha Mungu mioyoni hujiwekea hasira Hawalilii msaada hapo awafungapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wasiomcha Mungu hupenda kukasirika, hawamlilii msaada anapowabana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wenye mioyo mipotovu watakapokasirika, lakini hawatajipa mioyo ya kupiga kelele, ya kuwa aliwafunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao wasiomcha Mungu mioyoni hujiwekea hasira Hawalilii msaada hapo awafungapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanapenda kukasirika; hawamwombi musaada anapowafunga.