Job 36:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hufa wangali bado vijana, maisha yao huisha kama ya walawiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanakufa wangali vijana, miongoni mwa mahanithi wa mahali pa ibada za sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao hufa wakali vijana, Na uhai wao huangamia katikati ya wachafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hufa wangali bado vijana, maisha yao huisha kama ya walawiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanakufa wangali vijana, miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanakufa wangali vijana, miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao hufa wakingali vijana, Na uhai wao huangamia katikati ya wachafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hufa wangali bado vijana, maisha yao huisha kama ya walawiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo roho zao zitakufa katika ujana wao, nayo mioyo yao huzimia kwao wagoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao hufa wakali vijana, Na uhai wao huangamia katikati ya wachafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanakufa wangali bado vijana, maisha yao yanaisha kama ya washerati.