Job 36:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alikuvuta akakutoa taabuni, akakuweka mahali pa wasaa pasipo shida, na mezani pako akakuandalia vinono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeye anakubembeleza utoke katika mataya ya dhiki, ili kukuweka mahali palipo na nafasi mbali na kizuizi, hadi kwenye meza yako ya faraja iliyojaa vyakula vizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana msonge; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alikuvuta akakutoa taabuni, akakuweka mahali pa wasaa pasipo shida, na mezani pako akakuandalia vinono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yeye anakubembeleza utoke katika mataya ya dhiki, ili kukuweka mahali palipo na nafasi mbali na kizuizi, hadi kwenye meza yako ya faraja iliyojaa vyakula vizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeye anakubembeleza utoke katika mataya ya dhiki, ili kukuweka mahali palipo na nafasi mbali na kizuizi, hadi kwenye meza yako ya faraja iliyojaa vyakula vizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana kizuizi; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alikuvuta akakutoa taabuni, akakuweka mahali pa wasaa pasipo shida, na mezani pako akakuandalia vinono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nawe anakutaka, akuopoe katika masongano, akuweke papana pasipokusonga, nawe uandaliwe yenye mafuta mengi mezani pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana msonge; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alikutoa katika taabu, akakuweka pahali pakubwa pasipo shida, na juu ya meza yako amekutayarishia vyakula vizuri.