Job 36:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini sasa umehukumiwa kama mwovu, hukumu ya haki imekukumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; hukumu na haki vimekukamata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini umejaa hukumu ya waovu; Hukumu na haki hukushika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini sasa umehukumiwa kama mwovu, hukumu ya haki imekukumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu, hukumu na haki vimekukamata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; hukumu na haki vimekukamata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini umejaa hukumu ya waovu; Hukumu na haki hukushika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini sasa umehukumiwa kama mwovu, hukumu ya haki imekukumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ukizidi kuzitamani hukumu zao wasiomcha Mungu. basi, hukumu zao na mashauri yao yatakupata kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini umejaa hukumu ya waovu; Hukumu na haki hukushika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa umehukumiwa kama mwovu, hukumu ya haki imekupata.