Job 36:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jihadhari ghadhabu isije ikakufanya ukadhihaki, au ukubwa wa mali za kukukomboa ukakupotosha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ujitunze, isije hasira ikakuvuta hata ukafanya mzaha; Wala usikubali ukuu wa ukombozi ukugeuze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jihadhari ghadhabu isije ikakufanya ukadhihaki, au ukubwa wa mali za kukukomboa ukakupotosha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu kuna ghadhabu jihadhari, ili kwamba, yeyote asikupotoshe kiasi kwamba fidia kubwa ikashindwa kukukomboa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ujitunze, isije hasira ikakuvuta hata ukafanya mzaha; Wala usikubali ukuu wa ukombozi ukugeuze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jihadhari ghadhabu isije ikakufanya ukadhihaki, au ukubwa wa mali za kukukomboa ukakupotosha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angalia, ukali usikuponze, ukitukana, wala wingi wa makombozi usikupoteze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ujitunze, isije hasira ikakuvuta hata ukafanya mzaha; Wala usikubali ukuu wa ukombozi ukugeuze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia kasirani isikuvute kwa kuzarau, au usiache ukubwa wa mali za kukukomboa ukupotoshe.