Job 36:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kilio chako kitafaa kukutoa taabuni, au nguvu zako zote zitakusaidia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mali yako yatatosha, hata usiwe katika taabu, Au uwezo wote wa nguvu zako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kilio chako kitafaa kukutoa taabuni, au nguvu zako zote zitakusaidia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mali yako itatosha, hata usiwe katika taabu, Au uwezo wote wa nguvu zako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kilio chako kitafaa kukutoa taabuni, au nguvu zako zote zitakusaidia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Makelele yako yatakupatia mahali pasiposongeka, ijapo, ujikaze kulia kwa nguvu zote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mali yako yatatosha, hata usiwe katika taabu, Au uwezo wote wa nguvu zako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilio chako kitafaa kukutoa katika taabu, au nguvu zako zote zitakusaidia?