Job 36:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningojee kidogo nami nitakueleza; Kwa kuwa nikali na maneno kwa ajili ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningojee kidogo nami nitakueleza; Kwa kuwa ningali na maneno kwa ajili ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yako mengine ya Mungu, nitakayoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningojee kidogo nami nitakueleza; Kwa kuwa nikali na maneno kwa ajili ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Univumilie kidogo, nami nitakuonyesha kitu; maana ningali bado na cha kusema kwa ajili ya Mungu.