Job 36:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usitamani usiku uje, ambapo watu hufanywa watoweke walipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiutamani usiku, Wakati watu wakatwapo katika mahali pao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usitamani usiku uje, ambapo watu hufanywa watoweke walipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiutamani usiku, Wakati watu wakatwapo katika mahali pao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usitamani usiku uje, ambapo watu hufanywa watoweke walipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usikutwetee kuchwa, kuwe usiku! Kwani ndio unaomaliza makabila mazima, yatoweke mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiutamani usiku, Wakati watu wakatwapo katika mahali pao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usitamani usiku ukuje, ambapo watu wanapotoweka.