Job 36:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jihadhari! Usiuelekee uovu maana umepatiwa mateso kukuepusha na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi ya mateso.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jitunze, usiutazame uovu; Kwani umeuchagua huo zaidi ya taabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jihadhari! Usiuelekee uovu maana umepatiwa mateso kukuepusha na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitunze, usiutazame uovu; Kwani umeuchagua huo zaidi ya taabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jihadhari! Usiuelekee uovu maana umepatiwa mateso kukuepusha na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalie mwenyewe, usiyageukie maovu! Kwani ndiyo, unayoyapenda kuliko mateso.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jitunze, usiutazame uovu; Kwani umeuchagua huo zaidi ya taabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalisho! Usielekee uovu maana umepewa mateso kwa kukuepusha na uovu.