Job 36:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ni mkuu mno hata hatuwezi kumjua; muda wa maisha yake hauchunguziki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ni mkuu mno hata hatuwezi kumjua; muda wa maisha yake hauchunguziki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haichunguziki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ni mkuu mno hata hatuwezi kumjua; muda wa maisha yake hauchunguziki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Mungu ni mkuu, tusimjue hivyo, alivyo, hesabu ya miaka yake haichunguziki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu ni mukubwa sana hata hatuwezi kumujua; muda wa maisha yake hauchunguziki.