Job 36:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huyavuta kwake maji ya bahari, na kutoka ukungu hufanya matone ya mvua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka vijito;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka kungeni mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huyavuta kwake maji ya bahari, na kutoka ukungu hufanya matone ya mvua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka ukungu wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huyavuta kwake maji ya bahari, na kutoka ukungu hufanya matone ya mvua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huvuta matone ya maji, yaje juu kuwa kungugu, kisha hugeuka kuwa mvua idondokayo chini;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka kungeni mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anayavuta kwake maji ya bahari, na kutoka ukungu anafanya matone ya mvua.