Job 36:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyafanya mawingu yanyeshe mvua, na kuwatiririshia binadamu kwa wingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyafanya mawingu yanyeshe mvua, na kuwatiririshia binadamu kwa wingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyafanya mawingu yanyeshe mvua, na kuwatiririshia binadamu kwa wingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndivyo, mawingu yanavyoichuruzisha, inyeshee watu wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayafanya mawingu yanyeshe mvua, na kuwatiririshia wanadamu kwa wingi.