Job 36:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani ajuaye jinsi mawingu yatandavyo, au jinsi radi ingurumavyo angani kwake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka kwenye hema lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani ajuaye jinsi mawingu yatandavyo, au jinsi radi ingurumavyo angani kwake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, mtu aweza kuelewa matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani ajuaye jinsi mawingu yatandavyo, au jinsi radi ingurumavyo angani kwake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Yuko anayeyatambua matandazo ya mawingu? Au makao yake, ngurumo zitokamo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayejua jinsi mawingu yanavyotanda, au jinsi radi inavyonguruma kwake katika anga?