Job 36:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaleta hekima yangu kutoka mbali sana, na kuonesha kwamba Muumba wangu ni mwadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, nami nitamhesabia haki Muumba wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitayaleta maarifa yangu kutoka mbali, Nami nitampa haki Muumba wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaleta hekima yangu kutoka mbali sana, na kuonesha kwamba Muumba wangu ni mwadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, nami nitamhesabia haki Muumba wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, nami nitamhesabia haki Muumba wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitayaleta maarifa yangu kutoka mbali, Nami nitampa haki Muumba wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaleta hekima yangu kutoka mbali sana, na kuonesha kwamba Muumba wangu ni mwadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya, ninayoyajua, niliyatoa mbali, nimtokeze yeye aliyenifanya kuwa mwenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitayaleta maarifa yangu kutoka mbali, Nami nitampa haki Muumba wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaleta hekima yangu kutoka mbali sana, na kuonyesha kwamba Muumba wangu ni wa haki.