Job 36:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huutandaza umeme wake kumzunguka, na kuvifunika vilindi vya bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama anavyotandaza radi yake kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huutandaza umeme wake kumzunguka, na kuvifunika vilindi vya bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huutandaza umeme wake kumzunguka, na kuvifunika vilindi vya bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Huutandaza umeme wake, umzunguke, navyo vilindi vya bahari huvifunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anatandaza umeme wake kumuzunguka, na kuvifunika vilindi vya bahari.