Job 36:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mvua huwalisha watu na kuwapatia chakula kwa wingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani huwahukumu kabila za watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mvua huwalisha watu na kuwapatia chakula kwa wingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo atawalavyo mataifa na kuwapa chakula kwa wingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani huwahukumu makabila ya watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mvua huwalisha watu na kuwapatia chakula kwa wingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, anavyoyapatiliza makabila ya watu, tena ndivyo, anavyowapa watu vyakula, viwe vingi mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani huwahukumu kabila za watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mvua anawakulisha watu na kuwapatia chakula kwa wingi.