Job 36:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huukamata umeme kwa mikono yake, kisha hulenga nao shabaha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huujaza mkono wake kwa radi, na kuiagiza kulenga shabaha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huukamata umeme kwa mikono yake, kisha hulenga nao shabaha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi na kuuagiza kulenga shabaha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, na kuuagiza kulenga shabaha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huukamata umeme kwa mikono yake, kisha hulenga nao shabaha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikono yote miwili huifunika kwa umeme, akauagizia wao, utakaowapiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaukamata umeme kwa mikono yake, kisha anapiga nao shabaha.