Job 36:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli maneno yangu si ya uongo; mwenye elimu kamili yuko hapa nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani yakini maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika maarifa yu pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli maneno yangu si ya uongo; mwenye elimu kamili yuko hapa nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; yeye aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hakika maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika maarifa yu pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli maneno yangu si ya uongo; mwenye elimu kamili yuko hapa nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli maneno yangu siyo ya uwongo, anayesema na wewe ni mwenye ujuzi utimilikao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani yakini maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika maarifa yu pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli maneno yangu si ya uongo; mwenye elimu kamili yuko hapa nawe.