Job 36:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika kusudi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu yeyote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Mungu ni mwenye uwezo, lakini hamtupi mtu, ni mwenye uwezo kwa nguvu zilizo za moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia! Mungu ni mwenye nguvu wala hamuzarau mutu yeyote; uwezo wa akili yake ni mukubwa sana!