Job 36:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawaachi waovu waendelee kuishi; lakini huwapatia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hauhifadhi uhai wa waovu; Lakini huwapa wateswao haki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawaachi waovu waendelee kuishi; lakini huwapatia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hauhifadhi uhai wa waovu; Lakini huwapa wateswao haki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawaachi waovu waendelee kuishi; lakini huwapatia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamkalishi uzimani asiyemcha, lakini watesekao huwakatia mashauri yaliyo sawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hauhifadhi uhai wa waovu; Lakini huwapa wateswao haki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawaachilii waovu waendelee kuishi; lakini anawapatia wanaoteswa haki zao.