Job 36:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haachi kuwalinda watu waadilifu; huwatawaza, wakatawala na kutukuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya utawala pamoja na wafalme, na kuwatukuza milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye hawaondolei macho yake wenye haki; Lakini pamoja na wafalme huwaweka Katika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haachi kuwalinda watu waadilifu; huwatawaza, wakatawala na kutukuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye hawaondolei macho yake wenye haki; Lakini pamoja na wafalme huwaweka Katika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haachi kuwalinda watu waadilifu; huwatawaza, wakatawala na kutukuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwake mwongofu hayaondoi macho yake, anawakalisha pamoja na wafalme katika viti vya kifalme, wakae hapo kale na kale, wapate kutukuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye hawaondolei macho yake wenye haki; Lakini pamoja na wafalme huwaweka Katika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haachi kuwalinda watu wa haki; nao anawaweka kuwa wafalme watawale na kutukuzwa.