Job 36:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama watu wamefungwa minyororo, wamenaswa katika kamba za mateso,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama watu wamefungwa minyororo, wamenaswa katika kamba za mateso,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama watu wamefungwa minyororo, wamenaswa katika kamba za mateso,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walipofungwa kwa mapingu, au walipokamatwa kwa kamba za mateso,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama watu wakifungwa minyororo, wakinaswa katika kamba za mateso,