Job 37:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hulijaza wingu manyunyu mazito; mawingu husambaza umeme wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, huyatweka mawingu mazito mzigo wa maji; Hulitandika wingu la umeme wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hulijaza wingu manyunyu mazito; mawingu husambaza umeme wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, huyatwika mawingu mazito mzigo wa maji; Hulitandika wingu la umeme wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hulijaza wingu manyunyu mazito; mawingu husambaza umeme wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mawingu huyalemeza kwa kuyatia maji mengi, yaanguke chini, tena hutandaza nayo mawingu yenye umeme wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, huyatweka mawingu mazito mzigo wa maji; Hulitandika wingu la umeme wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu analijaza wingu manyunyu mazito; mawingu yanasambaza umeme wake.