Job 37:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko, kutekeleza kila kitu anachokiamuru, kufanyika katika ulimwengu wa viumbe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalo hugeuzwa huku na huku kwa uongozi wake, Ili yafanye yote atakayoyaagiza Juu ya uso wa dunia hii ikaayo watu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko, kutekeleza kila kitu anachokiamuru, kufanyika katika ulimwengu wa viumbe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lo lote ayaamuruyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nalo hugeuzwa huku na huku kwa uongozi wake, Ili yafanye yote atakayoyaagiza Juu ya uso wa dunia hii ikaayo watu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko, kutekeleza kila kitu anachokiamuru, kufanyika katika ulimwengu wa viumbe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye huyaongoza, yageuke huko na huko kuzifanya kazi zao, atakazoyaagiza, zitendeke huku chini po pote panapokaa watu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalo hugeuzwa huku na huku kwa uongozi wake, Ili yafanye yote atakayoyaagiza Juu ya uso wa dunia hii ikaayo watu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa amri yake vyote vinazunguka huku na kule, kutimiza kila kitu anachoviamuru, kufanya katika ulimwengu wa viumbe.