Job 37:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ungae?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wajua wewe jinsi Mungu anavyoziagiza, Na kuumulikisha umeme wa wingu lake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ung'ae?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wajua wewe jinsi Mungu anavyoziagiza, Na kuufanya umeme wa wingu lake uangaze?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ungae?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jinsi Mungu anavyoyaagiza, unavijua? au jinsi anavyoumulikisha umeme ulioko mawinguni kwake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wajua wewe jinsi Mungu anavyoziagiza, Na kuumulikisha umeme wa wingu lake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kuyafanya umeme wa mawingu yake uangae?