Job 37:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wajua jinsi mawingu yanavyoelea angani? Ndizo kazi za ajabu za yule aliye mkamilifu wa maarifa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unajua mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wajua jinsi mawingu yalivyowekwa sawasawa, Hizo kazi za ajabu za huyo mkamilifu wa maarifa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wajua jinsi mawingu yanavyoelea angani? Ndizo kazi za ajabu za yule aliye mkamilifu wa maarifa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliyemkamilifu katika maarifa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wajua jinsi mawingu yalivyowekwa sawasawa, Hizo kazi za ajabu za huyo mkamilifu wa maarifa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wajua jinsi mawingu yanavyoelea angani? Ndizo kazi za ajabu za yule aliye mkamilifu wa maarifa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Unayajua mawingu, jinsi yanavyoning'inia? Mastaajabu yake, aliyotimiza kuyajua yote, unayatambua nawe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wajua jinsi mawingu yalivyowekwa sawasawa, Hizo kazi za ajabu za huyo mkamilifu wa maarifa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajua jinsi mawingu yanavyoelea katika anga? Ndizo kazi za ajabu za yule anayekuwa mukamilifu wa maarifa!