Job 37:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, waweza, kuzitandaza mbingu kama yeye zikawa ngumu kama kioo cha shaba?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, unaweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Waweza kuzitandaza mbingu pamoja naye, Ambazo zina nguvu kama kioo cha kuyeyushwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, waweza, kuzitandaza mbingu kama yeye zikawa ngumu kama kioo cha shaba?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Waweza kuzitandaza mbingu pamoja naye, Ambazo zina nguvu kama kioo cha kuyeyushwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, waweza, kuzitandaza mbingu kama yeye zikawa ngumu kama kioo cha shaba?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Unaweza kuzitandaza mbingu kama yeye, ziwe kama kioo cha shaba kwa kushupaa hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Waweza kuzitandaza mbingu pamoja naye, Ambazo zina nguvu kama kioo cha kuyeyushwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kuzitandaza mbingu kama yeye hata zikuwe ngumu kama kioo cha shaba?