Job 37:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tufundishe tutakachomwambia Mungu; maana hoja zetu si wazi, tumo gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tuambieni yatupasayo kumwambia; hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utufundishe ni maneno gani tutakayomwambia; Kwa maana hamwezi kuyatengeza kwa sababu ya giza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tufundishe tutakachomwambia Mungu; maana hoja zetu si wazi, tumo gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tuambieni yatupasayo kumwambia, hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tuambieni yatupasayo kumwambia; hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utufundishe ni maneno gani tutakayomwambia; Kwa kuwa hamwezi kutoa hoja zenu, maana mmo gizani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tufundishe tutakachomwambia Mungu; maana hoja zetu si wazi, tumo gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Na utujulishe tutakayomwambia! Sisi hatuwezi kuyatunga kwa kuwa gizani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utufundishe ni maneno gani tutakayomwambia; Kwa maana hamwezi kuyatengeza kwa sababu ya giza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utufundishe tutakachomwambia Mungu; maana masemi yetu si wazi, tuko katika giza.