Job 37:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo inayotoka kinywani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ngurumo za sauti yake zisikilizeni vema, nayo mavumi yanayotoka kinywani mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize ngurumo ya sauti ya Mungu, na muvumo wa sauti kutoka ndani ya kinywa chake.