Job 37:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nani anathubutu kumwambia: Nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Aambiwe kwamba nataka kunena? Au mtu angetamani kumezwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nani anathubutu kumwambia: nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Aambiwe kwamba nataka kunena? Au kuna mtu ambaye angetamani kumezwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nani anathubutu kumwambia: Nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Atapashwa habari ya kwamba: Nataka kusema? Yuko mtu aliyesema, aangamizwe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Aambiwe kwamba nataka kunena? Au mtu angetamani kumezwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anahitaji kujulishwa kwamba ninataka kusema? Au mutu anaweza kujitakia kuangamizwa?