Job 37:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyong’aa angani, upepo ukishafagia mawingu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa watu hawawezi kuutazama mwanga ung'aao mbinguni; Lakini upepo ukipita huzitakasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi hakuna awezaye kulitazama jua, kwa jinsi linavyong'aa angani, upepo ukishafagia mawingu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyong’aa angani, upepo ukishafagia mawingu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa watu hawawezi kuutazama mwanga ung'aao mbinguni; Lakini upepo ukipita huzitakasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanga wa jua, likiwaka mbinguni, watu hawawezi kuutazama, upepo ukiisha kupita na kuyaondoa mawingu, pang'ae tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa watu hawawezi kuutazama mwanga ung’aao mbinguni; Lakini upepo ukipita huzitakasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa rafla mutu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichwa nyuma ya mawingu, na upepo umesafisha anga!