Job 37:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mngao mzuri hutokea kaskazini; Mungu amezungukwa na utukufu wa kutisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaskazini hutokea umemetufu wa dhahabu; Mungu huvikwa ukuu utishao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mng'ao mzuri hutokea kaskazini; Mungu amezungukwa na utukufu wa kutisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu, Mungu huja katika utukufu wa kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaskazini hutokea mng'ao wa dhahabu; Mungu huvikwa ukuu utishao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mngao mzuri hutokea kaskazini; Mungu amezungukwa na utukufu wa kutisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kaskazini hutokea mionzi ya jua imetukayo kama dhahabu, kweli utukufu wake Mungu huogopesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaskazini hutokea umemetufu wa dhahabu; Mungu huvikwa ukuu utishao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwangaza muzuri unatokea upande wa kaskazini; Mungu amezungukwa na utukufu wa kutisha.