Job 37:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu Mwenye Nguvu asiyeweza kufikiwa na mtu, uwezo na uadilifu wake ni mkuu, amejaa wema wala hapotoshi haki kamwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hatadhulumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu Mwenye Nguvu asiyeweza kufikiwa na mtu, uwezo na uadilifu wake ni mkuu, amejaa wema wala hapotoshi haki kamwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu Mwenye Nguvu asiyeweza kufikiwa na mtu, uwezo na uadilifu wake ni mkuu, amejaa wema wala hapotoshi haki kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sisi hatukumwona Mwenyezi kwa kuwa mkuu mwenye nguvu, hapotoi shauri wala mambo yo yote yaongokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu Mwenye Uwezo asiyeweza kufikiwa na mutu, uwezo na haki yake ni mukubwa. Amejaa haki wala hapotoshi sheria hata kidogo.