Job 37:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, watu wote humwogopa; yeye hamjali mtu yeyote mwenye kiburi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wanadamu humwogopa, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo watu humwogopa; Yeye hawaangalii walio na hekima mioyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, watu wote humwogopa; yeye hamjali mtu yeyote mwenye kiburi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi ye yote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo watu humwogopa; Yeye hawaangalii walio na hekima mioyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, watu wote humwogopa; yeye hamjali mtu yeyote mwenye kiburi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo inapasa, watu wamwogope, hawatazami watu wo wote wajiwaziao kuwa werevu wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo watu humwogopa; Yeye hawaangalii walio na hekima mioyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, watu wote wanamwogopa. Yeye hawajali watu wanaojiona kuwa wenye hekima.