Job 37:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu hunguruma kwa kustaajabisha kwa sauti yake; Hufanya mambo makuu, ambayo hatuwezi kuelewa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya Mungu hunguruma kwa jinsi ya ajabu, hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu hunguruma kwa kustaajabisha kwa sauti yake; Hufanya mambo makuu, ambayo hatuwezi kuyaelewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akiivumisha sauti yake, inastaajabisha; hufanya makuu, tusiyoweza kuyajua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu hunguruma kwa kustaajabisha kwa sauti yake; Hufanya mambo makuu, ambayo hatuwezi kuelewa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anapiga radi ya ajabu kwa sauti yake, anafanya mambo makubwa tusiyoweza kuyaelewa.