Job 37:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hufunga shughuli za kila mtu; ili watu wote watambue kazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, yeye humzuilia kila mtu shughuli zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huufunga mkono wa kila binadamu; Ili watu wote aliowaumba wajue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hufunga shughuli za kila mtu; ili watu wote watambue kazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ili kwamba wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, humzuilia kila mtu shughuli zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, yeye humzuilia kila mtu shughuli zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huufunga mkono wa kila binadamu; Ili watu wote aliowaumba wajue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hufunga shughuli za kila mtu; ili watu wote watambue kazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo huizuia mikono ya watu wote kufanya kazi, wote pia wayajue matendo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huufunga mkono wa kila binadamu; Ili watu wote aliowaumba wajue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anafunga shuguli za kila mutu kusudi watu wote watambue kazi yake.