Job 38:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu alimjibu Yobu kutoka dhoruba:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Bwana akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu alimjibu Yobu kutoka dhoruba:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akamjibu Ayubu kutoka katika upepo wa kisulisuli. Akasema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu alimjibu Yobu kutoka dhoruba:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomjia Iyobu akiwa mwenye upepo wa kuvuma na nguvu, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akamujibu Yobu kutoka katika zoruba: