Job 38:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliiwekea bahari mipaka, nikaizuia kwa makomeo na milango,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaiagiza amri yangu; Nikaiwekea makomeo na milango,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliiwekea bahari mipaka, nikaizuia kwa makomeo na milango,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipoamuru mipaka yake na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaiagiza amri yangu; Nikaiwekea makomeo na milango,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliiwekea bahari mipaka, nikaizuia kwa makomeo na milango,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoipinga kwa kuishurutisha kuyafuata maongozi yangu, napo nilipoiwekea makomeo na milango kuwa mipaka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaiagiza amri yangu; Nikaiwekea makomeo na milango,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliyeiwekea bahari mipaka na kuizuia kwa vifungio na milango