Job 38:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikaiambia: ‘Mwisho wako ni hapa, si zaidi! Mawimbi yako ya nguvu yatakomea hapa!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
niliposema, ‘Unaweza kufika hapa, wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa mawimbi yako yanyetayo yatazuiliwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikaiambia: ‘Mwisho wako ni hapa, si zaidi! Mawimbi yako ya nguvu yatakomea hapa!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi, hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa mawimbi yako yenye nguvu yatazuiliwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikaiambia: ‘Mwisho wako ni hapa, si zaidi! Mawimbi yako ya nguvu yatakomea hapa!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoiambia: Ufike mpaka hapa, usipapite! Ndipo, mawimbi yako yenye majivuno yatakapokomea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa mawimbi yako yanyetayo yatazuiliwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuiambia: “Mwisho wako ni hapa, si zaidi! Mawimbi yako ya nguvu yatakomea hapa!”