Job 38:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakung’uta waovu waliomo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yapate kushika miisho ya dunia na kuwakung'uta waovu waliomo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakung’uta waovu waliomo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yapate kuyashika mapeo ya nchi, waovu wafukuzwe, waitoke nchi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung’utwe wakawe mbali nayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi yapate kukamata dunia kwa pembe zake na kuwatikisa watenda mabaya?