Job 38:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya muhuri; sura yake hukaa kama ile ya vazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hubadilika mfano wa udongo chini ya muhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hubadilika mfano wa udongo chini ya mhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo nchi hugeuka kama udongo, ukichorwa marembo, vyote vikijipanga kuwa kama mavazi yake mazuri mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hubadilika mfano wa udongo chini ya muhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dunia inageuka na kupata rangi kama nguo; kama udongo wa mufinyanzi unavyogeuzwa na muhuri.