Job 38:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waovu watanyimwa mwanga wao, mkono wanaonyosha kupiga watu utavunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waovu nuru yao huzuiliwa isiwafikie, Na mkono ulioinuka huvunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waovu watanyimwa mwanga wao, mkono wanaonyosha kupiga watu utavunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waovu nuru yao huzuiliwa isiwafikie, Na mkono ulioinuka huvunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waovu watanyimwa mwanga wao, mkono wanaonyosha kupiga watu utavunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wanaonyimwa mwanga wao ndio waovu, nayo mikono iliyokunjuliwa kwa majivuno huvunjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waovu nuru yao huzuiliwa isiwafikie, Na mkono ulioinuka huvunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waovu watanyimwa mwangaza wao, mukono wanaonyoosha kwa kupiga watu utavunjwa.